Psalms 69:7-9

7 aKwa maana nimestahimili dharau kwa ajili yako,
aibu imefunika uso wangu.
8 bNimekuwa mgeni kwa ndugu zangu,
mgeni kwa wana wa mama yangu mwenyewe.
9 cKwa kuwa wivu wa nyumba yako unanila,
matukano ya wale wanaokutukana yameniangukia.
Copyright information for SwhNEN